Kukosa Amani ya moyo

Kukosa Amani ya moyo

Jiamini ="Otorong'ong'o, post: 20083445, member: 51902"]Hormone gani sasa..?
Homoni zote zina madhara.Ukienda watachukua damu, wanapima zote[/QUOTE]
zinazosumbua kichwani tunaziita Neurotransmiters.
 
Nenda E="princess ariana, post: 20083814, member: 381793"]wapi wanapima na Tsh ngapi[/QUOTE]
Nenda regency, kama una bima inatumika.Ila hata kwa cash sio gharama sana
 
Sonona hio.
Fanya yafuatayo
Zima hio smartphones
Lala mno, wahi kulala tena kwenye giza nene...lala mpk masaa 12
Jaribu kuishi na watu vizuri sikiliza story zao.
Toa msaada kwa kila kitu.
Jifunze kupenda watu na uwe na smile face hata kama ni fake.
Usijilinganishe na wengine, focus kwenye mipango yako.
Kuwa katili mara chache, na huruma sana.

Jingine jichunguze kwenye imani yako na attitude yako
 
Shukraan mkuu kwa ushauri
 
Tafuta MTU unayemwamini mweleze matatizo yako yoote bila kujali hata ya kiafya ukijisikia kulia lia mpaka utakapojisikia vzr baada ya hapo utapata nafuu kubwa ukishindwa nipm
 
Nenda E="princess ariana, post: 20083814, member: 381793"]wapi wanapima na Tsh ngapi
Nenda regency, kama una bima inatumika.Ila hata kwa cash sio gharama sana[/QUOTE]
kuna mtu alinambiaga hapa kama 60000 nikaogopa maana sitaweza
 
[emoji26]pole sana
una mfadhaiko!
Hata mimi ninao pia ila ni wa wasiwasi & woga tangu mwezi wa 10mwaka jana
lazima ukose amani...
unaweza kutamani kufa.

cha msingi ni kujua nini kinasababisha halafu utapata solution
Fanyeni meditation wapendwa,fanyeni vitu vya kuwafurahisha,msiruhusu upweke,ikiwezekana kitu cha arusha pia kinasaidia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuuu
 
Ila inaelekea huna kampani ya marafiki,ukiwa na marafiki wachangamfu pia inasaidia,alafu epuka overthinking,usishuhulishe ubongo wako kuyafikiria mambo ya huzuni au matukio ya zamani yasiyo na tija,pia tafuta mwenza kama huna.kuhusu cha arusha usitumie kama kichwa chako chepesi.
 
Sawa mkuuu shukraan nimekuelewa
 
Mi nadhani tatizo la kwanza ni mshahara kua kiduchu ukilinganisha na mahitaji yako pamoja na wategemezi wako, pili una msongo wa mawazo inaobekana unawaza vitu ambavyo utatuzi wake unategemea watu wengine...cha msingi tumia muda mwingi kukaa ba watu unaoamini wanaweza kuwa na msaada kwako, lakini pia usiwe unajiona mnyonge na mdhaifu ukijilinganisha na wengine
 
Nasukur kWa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom