Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima.
Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa imepatikana mil.80. Mwenyewe kaweuka kawa chizi, na deni bado, nadhani hatua ifuatayo atiwa jela akafie huko kabisa.
WAKUU TUWE MAKINI NA VYOMBO VYA MOTO, Mahakama imetenda haki