Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
na boda doda watiwe adabu kila siku wanavunja watu miguuKuna jamaa kule maeneo ya ununio nasikia ni mgambo pale kunduch pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya,na gari haikuwa na bima,
juzi mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa imepatikana mil.80, mwenyewe kaweukwa kawa chizi, na deni bado, nadhan hatua ifuatayo atiwa jela akafie huko kabisa. WAKUU TUWE MAKINI NA VYOMBO VYA MOTO, Mahakama imetenda haki
Huyu atakuwa Pengo tuna kigari chake Cha kufukizia magendo! Pole yake.Kuna jamaa kule maeneo ya ununio nasikia ni mgambo pale kunduch pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya,na gari haikuwa na bima,
juzi mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa imepatikana mil.80, mwenyewe kaweukwa kawa chizi, na deni bado, nadhan hatua ifuatayo atiwa jela akafie huko kabisa. WAKUU TUWE MAKINI NA VYOMBO VYA MOTO, Mahakama imetenda haki
shangaa weweHizo zilikuwa nyumba 3 au mabanda ya uani?
Yalikuwa eneo gani yaani nyumba 3 isifike hata 105M? Au yalikuwa mapagala?
AnajitumaMgambo ana gari na nyumba tatu hii ndio dsm aisee
Hongera mgambo kwa kumiliki ndinga isiyokamilikaKuna jamaa kule maeneo ya ununio nasikia ni mgambo pale kunduch pwani,
NYumba za minada huwa haziuzwi kwa bei ya sokoHizo zilikuwa nyumba 3 au mabanda ya uani?
Yalikuwa eneo gani yaani nyumba 3 isifike hata 105M? Au yalikuwa mapagala?