ipinho
Member
- Sep 9, 2013
- 81
- 62
leo mida ya saa 5 asubui wanafunzi wanaosoma Ruaha Univety Collerge wameandamana hadi kwa prinsipal na uongozi mzima wa Ruco wakiimba nyimbo za kutaka wapatiwe hela zao za boom kwa mala ya mwisho wamedai wamepatiwa mwezi wa pili maandamano hayo yamesababisha Police kufika maeneo ya chuo bila kuwasambalatisha wanafunzi hao walioongozwa na wanafunzi wa BAED mwaka wa Tatu yameishia bila kupata ufumbuzi wa tatizo lao la kifeza tafadhali serikari wanafunzi wanakufa njaa watatulieni shida zao sio University of Dar es salaam pekee wapewe pesa wengine waachwe mnasababisha maandamano yasio ya lazima