Kukosa Boom kwazua kizaaa zaa RUCO

Kukosa Boom kwazua kizaaa zaa RUCO

ipinho

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
81
Reaction score
62
leo mida ya saa 5 asubui wanafunzi wanaosoma Ruaha Univety Collerge wameandamana hadi kwa prinsipal na uongozi mzima wa Ruco wakiimba nyimbo za kutaka wapatiwe hela zao za boom kwa mala ya mwisho wamedai wamepatiwa mwezi wa pili maandamano hayo yamesababisha Police kufika maeneo ya chuo bila kuwasambalatisha wanafunzi hao walioongozwa na wanafunzi wa BAED mwaka wa Tatu yameishia bila kupata ufumbuzi wa tatizo lao la kifeza tafadhali serikari wanafunzi wanakufa njaa watatulieni shida zao sio University of Dar es salaam pekee wapewe pesa wengine waachwe mnasababisha maandamano yasio ya lazima
 
Tunasikia hata wale wa UDOM katika college ya Humanitia nao wameandamana na wameahidiwa kupewa fedha baada ya siku 3.
 
kweli aisee,wanachuo wana tia huruma,ila jamani dada zangu Mungu awatie nguvu,mm machozi hadi yananitoka wadada wanavyo tumia njia mbadala kupata kula,sasa hii serikali imekuaje ina maana wao awaoni??huko bungeni wamekaa kimya sasa mjiandaae ,mtakula mtakacho kipanda,hapa anae zingua ni hazina ndio aja tuma mpunga wenu chuon kwenu,big up kwa Ruco na udom,na wengine mlio panga kuingia road kesho fanyeni yenu,apa kwetu kita nuka muda sii mrefu na maanisha R chuga,
 
leo mida ya saa 5 asubui wanafunzi wanaosoma Ruaha Univety Collerge wameandamana hadi kwa prinsipal na uongozi mzima wa Ruco wakiimba nyimbo za kutaka wapatiwe hela zao za boom kwa mala ya mwisho wamedai wamepatiwa mwezi wa pili maandamano hayo yamesababisha Police kufika maeneo ya chuo bila kuwasambalatisha wanafunzi hao walioongozwa na wanafunzi wa BAED mwaka wa Tatu yameishia bila kupata ufumbuzi wa tatizo lao la kifeza tafadhali serikari wanafunzi wanakufa njaa watatulieni shida zao sio University of Dar es salaam pekee wapewe pesa wengine waachwe mnasababisha maandamano yasio ya lazima

wasomi wetu.
 
Back
Top Bottom