Kukosa hamu na mapenzi na mndani wako

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Poleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini?

MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA SOON.
 
Kweli hili tatizo lipo sana yaan mtu unakuwa hauna hamu kabisa labda kwa mwez mara mbili.hata mi kwa mke wangu sasa hivi sina hamu kabisa sijui hata imepotelea wapi hamu.
 
vinavyonyegeza vipoje hivo!!!!! na navitaka ila sivijui!!!!!!
 
Poleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini?
MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA SOON.

Naona issue kubwa hapa ni kuzongwa na majukumu mengi na inapofika wakati husika basi mtu unakua umechoka hoi, mwili umechoka, akili imechoka sasa hiyo hamu utaiotoa wapi?

Ushauri :
1. tenga muda wa kufanya mazoezi ya viungo kama pushups, na mengineyo, fanya mazoezi ya kutafuta pumzi kama kukimbia kila siku asubuhi sana hata kwa dakika 40 au zaidi, hili linafaa sana wakati wa wikendi.

2. Acha matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, acha kula processed food za viwandani, kula vyakula natural kama dona, mboga mboga, matunda, isisahau maziwa fresh na juisi ya ukwaju na tikiti maji( water melon).

3. Hakikisha haupati kitambi by any means.
 
Poleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini?
MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA SOON.
Kukosa Hamu ya kufanya Mapenzi ni Ugonjwa kwa Mwanamme au Kwa Mwanamke ukihitaji Dawa ninayo unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Kweli hili tatizo lipo sana yaan mtu unakuwa hauna hamu kabisa labda kwa mwez mara mbili.hata mi kwa mke wangu sasa hivi sina hamu kabisa sijui hata imepotelea wapi hamu.
Halafu ubaya wa hali hii unapojaribu kujilazimisha ndio unazidi kunyong'onyea kabisa. Wanawake kwakweli wana raha sana kwani hata kama hana hamu anaweza kupretend kwasababu yeye ndiye anayeingiliwa lakini sio mwanaume kwasababu ni lazima usimamishe vizuri ii uweze kuingia ndani. Kwa kweli halii hii ikitokea huwa inakera sana. "wanaume tumeumbwa mateso .. mateso kuhangaika. Mwanamume anapopatwa na matatizo oooh macho huwa mekundu kwa uchungu lakini katu katu usikate tamaa, Wanaume tumeumbwa matesooo, matesoo kuhangaika, UKIPATWA NA JAMBO usiende kwa waganga wewe omba Mungu akusaidie... Wanaume tumeumbwa matesoo, matesoo kuhangaika...." Oh samahani nimejikuta naimba wimbo wa marehemu TX Moshi Williama na Marehemu mzee Gurumo
 
si ugonjwa ni kuzidiwa na majukumu... jitahidi kula vitu vinavyonyegeza
Asikilize ule wimbo wa AJALI wa Marehemu TX Moshi William na Gurumo "Ukizaliwa mwanaumee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabuu... wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuhangaikaa!"
 
asikilize ule wimbo wa ajali wa marehemu tx moshi william na gurumo "ukizaliwa mwanaumee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabuu... Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuhangaikaa!"

ndiyo maana amabebi mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…