Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini?
MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA SOON.
Kukosa Hamu ya kufanya Mapenzi ni Ugonjwa kwa Mwanamme au Kwa Mwanamke ukihitaji Dawa ninayo unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.MawasilianoPoleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini?
MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA SOON.
Halafu ubaya wa hali hii unapojaribu kujilazimisha ndio unazidi kunyong'onyea kabisa. Wanawake kwakweli wana raha sana kwani hata kama hana hamu anaweza kupretend kwasababu yeye ndiye anayeingiliwa lakini sio mwanaume kwasababu ni lazima usimamishe vizuri ii uweze kuingia ndani. Kwa kweli halii hii ikitokea huwa inakera sana. "wanaume tumeumbwa mateso .. mateso kuhangaika. Mwanamume anapopatwa na matatizo oooh macho huwa mekundu kwa uchungu lakini katu katu usikate tamaa, Wanaume tumeumbwa matesooo, matesoo kuhangaika, UKIPATWA NA JAMBO usiende kwa waganga wewe omba Mungu akusaidie... Wanaume tumeumbwa matesoo, matesoo kuhangaika...." Oh samahani nimejikuta naimba wimbo wa marehemu TX Moshi Williama na Marehemu mzee GurumoKweli hili tatizo lipo sana yaan mtu unakuwa hauna hamu kabisa labda kwa mwez mara mbili.hata mi kwa mke wangu sasa hivi sina hamu kabisa sijui hata imepotelea wapi hamu.
Asikilize ule wimbo wa AJALI wa Marehemu TX Moshi William na Gurumo "Ukizaliwa mwanaumee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabuu... wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuhangaikaa!"si ugonjwa ni kuzidiwa na majukumu... jitahidi kula vitu vinavyonyegeza
asikilize ule wimbo wa ajali wa marehemu tx moshi william na gurumo "ukizaliwa mwanaumee, we ujue kila kitu kwako itakuwa ni tabuu... Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuhangaikaa!"