MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani