Kukosa hamu ya chakula

Kukosa hamu ya chakula

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
 
Pole ndugu, nitafuatilia hii thread yako ili kupata msaada maana mimi ninalo.
Asante kwa juhudi zako huenda tukapata majibu.
 
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani

kaka pole sana na kuumwa please naomba unitafute kwa namba 0753947515 ili tuongee kwa urefu zaidi
 
Komeka acha uchoyo! wenye matatizo dizaini hiyo ni wengi hebu tupia dondoo tufaidike wote!!!!!!!!
 
Hakika tatizo kubwa sana kwangu,nami nimeenda hosp ila naambiwa ni mafua ndo yanasababisha na minyoo dawa nimetumia lakn wap najihisi na kukonda nimekonda
 
Hakika tatizo kubwa sana kwangu,nami nimeenda hosp ila naambiwa ni mafua ndo yanasababisha na minyoo dawa nimetumia lakn wap najihisi na kukonda nimekonda

Hili limegeuta tatizo kubwa sana katika jamii yetu.
 
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
KWA KUVIMBIWA NA KUKOSA HAMU YA KULA.

Changanya Juice ya TANGAWIZI, Juice ya Limau na Chumvi Mawe kwa vipimo vilivyo sawa. Hakikisha

umechanganya vizuri. Kunywa dawa hii kabla ya Chakula.

Vingineyo changanya vipimo vilivyo sawa sawa vya Juice ya TANGAWIZI na Sukari Mawe. Koroga vizuri,

kunywa kabla ya kula chakula. Dawa hii husafisha Ulimi na Koo na hukuongeza hamu ya kula na kukufanya

mchangamfu. Tumia Dawa kisha uje unipe Feedback Mkuu.@
MOLAM

1016963_490330877735520_980127405832993190_n.jpg

Tangawizi mbichi.
 
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
Pole na tatizo la appetite…kuna vyanzo vingi vya appetite kupotea. Mfano ugonjwa wa Depression (sonona) aneroxia (ugonjwa wa kuogopa kuongezeka uzito) magonjwa kwenye digestive system madawa kama antibiotics, chemotherapy, na narcotics, yanawezasababisha pia poor appetite. Magonjwa sugu kama, chronic obstructive pulmonary disease (COPD, emphysema na chronic bronchitis), hepatitis, Cancer, kidney failure, na mengine mengi yote pia yanaweza sababisha poor appetite. Mabadiliko kwenye utambuzi wa harufu, au ladha pia huchangia.
Kwa ufupi tu ni kua kwa dalili hiyo moja tu ni vigumu sana kusema una shida gani. Ni vizuri uende hospitali kwa ajiji ya check up. Ambapo daktari atakuuliza maswali kadhaa kurule out baadhi ya magonjwa na kasha kukupatia vipimo, diagnosis sahihi na matibabu.
NOTE"..Usikilize mwili wako, unatoa tahaddari ya magonjwa yote..tatizo huwa watu tuna tabia ya kupuuzia dalili, kwenda hospitali ambazo hazina viwango na mwisho unakuja kugundua tatizo wakati it is too late..take action now. Mwili wako na dalili unaokuonyesha ni kipimo tosha cha afya yako..CHUKUA TAHADHARI
 
Jaribu kubadilisha aina ya vyakula. Badilisha naman ya upishi/mapishi. Jaribu vyakula vipya ambavyo hujawahi kula au huvili mara kwa mara. Au wakati unakula jaribu kutumia vitu vya kuongeza ladha ya chakula.
 
Duh, pole. Ni tatizo linalotusumbua wengi, yaani unaweza ukakaa asubuhi mpaka jioni usijisikie hamu ya kula. Tunaomba wadau hapa jf mnaofahamu mtusaidie kwenye tatizo hili.
 
Back
Top Bottom