Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
Hakika tatizo kubwa sana kwangu,nami nimeenda hosp ila naambiwa ni mafua ndo yanasababisha na minyoo dawa nimetumia lakn wap najihisi na kukonda nimekonda
KWA KUVIMBIWA NA KUKOSA HAMU YA KULA.Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
Pole na tatizo la appetite…kuna vyanzo vingi vya appetite kupotea. Mfano ugonjwa wa Depression (sonona) aneroxia (ugonjwa wa kuogopa kuongezeka uzito) magonjwa kwenye digestive system madawa kama antibiotics, chemotherapy, na narcotics, yanawezasababisha pia poor appetite. Magonjwa sugu kama, chronic obstructive pulmonary disease (COPD, emphysema na chronic bronchitis), hepatitis, Cancer, kidney failure, na mengine mengi yote pia yanaweza sababisha poor appetite. Mabadiliko kwenye utambuzi wa harufu, au ladha pia huchangia.Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno nimejaribu kwenda vituo vya afya kwa matibabu, naambiwa sina ugonjwa wowote. naombeni ushauri wenu wadau wa jamvi hili,. natanguliza shukrani
kaka pole sana na kuumwa please naomba unitafute kwa namba 0753947515 ili tuongee kwa urefu zaidi
kaka pole sana na kuumwa please naomba unitafute kwa namba 0753947515 ili tuongee kwa urefu zaidi