Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Kukosa hamu ya tendo la ndoa

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Naombeni kujuzwa ivi kuna dawa ya kurudisha hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, ndoa yangu iko hatiani ni mwanamke nimeolewa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ila mume wangu nampenda sana.
 
Ukiwa unampenda mtu nae hakuonyeshi upendo kila siku ni visa, hamu ya tendo la ndoa utaisikia kwa mangi. Sina hakika, ila mkirudisha ukaribu inaweza kuwasaidia zaidi kuliko juisi ya tende na maziwa. Spending time pamoja, kufanya mazoezi ama kula pamoja, mawasiliano thabiti kila wakati nazo zinasaidia.

just curious, yeye ana hamu na wewe?
 
Ukiwa unampenda mtu nae hakuonyeshi upendo kila siku ni visa, hamu ya tendo la ndoa utaisikia kwa mangi. Sina hakika, ila mkirudisha ukaribu inaweza kuwasaidia zaidi kuliko juisi ya tende na maziwa. Spending time pamoja, kufanya mazoezi ama kula pamoja, mawasiliano thabiti kila wakati nazo zinasaidia.

just curious, yeye ana hamu na wewe?

Yeye ana hamu na mimi ila mimi ndo sina
 
Una mtoto mdogo labda?
Kuna namna hakuridhishi?
Fuata ushauri hapo juu,kua nae karibu fanyeni mambo madogomadogo pamoja,utasikia hamu tu.
 
Waone wataalamu wakusaidie hayo mambo
 
Hiyo zanzi nasikia unakuwa fiti kama mbwana samata kwenye game
 
Pole sana kula vyakula kama nyanya chungu bamia na ndizi za kuchemsha kwa muda hata miezi mitatu. Simaniishi kila siku lakini angalau hata marambili ktk wiki. Utpata nyege na wakati wa kula tunda utakuwa unamwaga maji mengi ambayo yatakupelekea kufika kileleni pia
 
Kuna kitu hakipo sawa hapo, hiyo hamu imeenda wapi sasa...!!! Nasikia harufu ya nyumba ndogo hapo.
 
Mguso wowote wa mwili unaongozwa na hisia,kwa wakati huu tayari hisia zako zimekua hasi kwamba huna mguso wa kimapenzi.
hili huwapata zaidi wanawake waliokwisha wahi kutendewa visivyo na wanaume kama vile kubakwa{rape}, kupigwa mtungo{group sex},manyanyaso n.k
Unahitaji tune set of mind kwanza jitambue pili jikubali.
pata muda wa kurelax.
Nb;kama Upo Arusha ninaweza nikawa na msaada mkubwa kwako.
 
Pata natural dietary supplements - zitamaliza tatizo, halitajirudia tena.
 
Je unatumia dawa za uzazi wa mpango? kama unatumia hilyo ndo sababu ukiacha kuzitumia baada ya muda hamu ya kushiriki meza ya Bwana itarudi.
 
Naombeni kujuzwa ivi kuna dawa ya kurudisha jam ya tendo la ndoa kwa wanawake, ndoa yangu iko hatiani ni mwanamke nimeolewa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ila mme wangu nampenda sana.

Tundika daruga
 
hio kali sasa kumbe na nyie mnakosaga hamu ya tendo mi nilijua ni kwa wala mmirungi au gomba
ok kwa hilo tatiizo nenda hospital ukiwa na mumeo ili madokta wakajua kuwa chanzo nini , kama ni uzee au madawa ya kulevya au attitude.
ukishindwa kumwona dokta kwa ajili ya aibu basi nunueni vitabu vya self help.

mwisho; je mumeo anajua kuwa unahilo tatizo.
 
Back
Top Bottom