Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa unampenda mtu nae hakuonyeshi upendo kila siku ni visa, hamu ya tendo la ndoa utaisikia kwa mangi. Sina hakika, ila mkirudisha ukaribu inaweza kuwasaidia zaidi kuliko juisi ya tende na maziwa. Spending time pamoja, kufanya mazoezi ama kula pamoja, mawasiliano thabiti kila wakati nazo zinasaidia.
just curious, yeye ana hamu na wewe?
Yeye ana hamu na mimi ila mimi ndo sina
kuna lolote anakuboa kupitiliza?
Hapana shaka huna tena mapenzi nae...Yeye ana hamu na mimi ila mimi ndo sina
Kunywa valuu hamu itarudi
Naombeni kujuzwa ivi kuna dawa ya kurudisha jam ya tendo la ndoa kwa wanawake, ndoa yangu iko hatiani ni mwanamke nimeolewa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ila mme wangu nampenda sana.
kuna lolote anakuboa kupitiliza?