Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Kukosa hamu ya tendo la ndoa

judybite

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
20
Reaction score
2
Msaada pliz nakosa hamu ya tendo la ndoa, nifanye mini ili nipate hamu?
 
Acha kula chips Na sembe kula dona kwa maharagwe nyama matunda na mboga kwa wingi Na KUNYWA maji
 
kula karanga mbichi, asali mbichi, vitunguu swaumu na vitunguu maji kwa wingi
 
Msaada pliz nakosa hamu ya tendo la ndoa .nifanye mini ili nipate hamu?

BBC Swahili | Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000% - http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/09/150922_daraprim_aids_drugs_price_hike?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin
 
Back
Top Bottom