Kukosa haya vs kuwa na confidence

Kukosa haya vs kuwa na confidence

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote.

Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu.

Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana najikuta napata maswali, je sijiamini au ? Au sija job mastering, naona uwezo ni mkubwa tu. Huyu mtu anakuwa kimbelembele mno na wkt mwingine kukosa haya.

Yaani kama kukosa haya ndio kujiamin bora nisiwe na confidence.

Kwangu mim hii naiita u arrogance
 
Back
Top Bottom