Pole Sana Subiri wana saikoloji Waje!
jiamini dats all
Habari wana jf. Yani nina tatizo la kukosa kujiamini. Hata kwenye mazungumzo yangu hasa kwa watu ambao siwafahamu.Hata shuleni kama natakiwa kufanya presentation inakuwa ni shida. unakuta kitu nakifahamu lakini nashindwa kudeliver kwa sababu ya kukosa kujiamini ambako kunatokana na uoga pia. Naombeni ushauri nifanyeje ili nijiamini na nisiwe mwoga kupitiliza.Asante

Follow this guy on twitter, facebook etc utanipa feedback...Eduard Ezeanu
Unatakiwa ufanye reheso sana kabla ya kupresent, af penda kutumia break ice technic itakusaidia....