Habari wana jf. Yani nina tatizo la kukosa kujiamini. Hata kwenye mazungumzo yangu hasa kwa watu ambao siwafahamu.Hata shuleni kama natakiwa kufanya presentation inakuwa ni shida. unakuta kitu nakifahamu lakini nashindwa kudeliver kwa sababu ya kukosa kujiamini ambako kunatokana na uoga pia. Naombeni ushauri nifanyeje ili nijiamini na nisiwe mwoga kupitiliza.Asante