Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

Hongera sana kijana kwa kutoa duku duku lako.pia hongera kwa kurudi salama kutoka mazingira ya jehanam ya jkt.wapo wenzako akiwemo binti yangu halima kitangilwa waliouawa kwa kusulubiwa.halima amepata chuo lkn wamemsulubu na kuumua.kutokana na hali hiyo unayoiona na mimi na mimi ambae mtoto wangu ameuawa jkt inatosha kuwaambia wakubwa kwamba uzaleno na ukakavu haufundishwi kwa njia za kutesa na kuua watu.mwisho wa yote huzaliwa chuki na visasi.
 
Na huyu anaekuambia si msomi bado hayajamfika.kwahiyo msamehe.mimi niliefiwa na mwanangu ambae nilimsomesha kuanzia vidudu hadi high school kwa gharama halafu mtoto wanamuua makusudi ndie ninaelewa feelings zako.hata mimi kuna wakati namuomba mungu anipe uwezo wa ajabu ili nikutane na waliomuua binti yangu ili nilipe kisasi.lkn hiyo inabakia ndoto na inazidi kuniumiza.
 
Back
Top Bottom