Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Zaidi ya wanafunzi elfu 28 (28,000)wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu kukosa mkopo. Hizi ni taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo. Sasa je! wanafunzi hawa elfu 28 wote wataweza kujigharamia au hili litangazwe kuwa janga la kitaifa.

Toa maoni yako mdau.
 
Tumekosa vipaumbele kama taifa.Hatujui tunataka nini.Cha kwanza kinakuwa cha mwisho na cha mwisho kinakuwa cha kwanza

Ni kama utani hivi,lakini hili ni janga.Hapo kwenye TCU issue tumeona malalamiko mengi,but kimsingiHESLB ndio kilio kitakuwa louder zaidi

Na wengine wataahirisha masomo kwa kukosa huo mkopo.At the same time kuna unnecessary expenses ,kule JKT kwa mfano,na pengine pengi.

Mungu ibariki Tanzania
 
Ishu ni kuunga mkono maandamano ya mhe.Mbowe kama hili likitokea.Over
 
Yaani silipatii picha hilo kunji.Let's wait and see

But hapa ndipo tulipofika.Pesa ya kupeleka watu "picnic" for 3 months ipo,ila ya kuwakopesha watu hao wasome elimu ya juu,tena ambayo ina uhusiano na maisha yao moja kwa moja haipo
 
Hata ukikosa unakomaa tu,mbona mimi sina mkopo lakini bado nipo hai,...
 
Tumekosa vipaumbele kama taifa.Hatujui tunataka nini.Cha kwanza kinakuwa cha mwisho na cha mwisho kinakuwa cha kwanza

Ni kama utani hivi,lakini hili ni janga.Hapo kwenye TCU issue tumeona malalamiko mengi,but kimsingiHESLB ndio kilio kitakuwa louder zaidi

Na wengine wataahirisha masomo kwa kukosa huo mkopo.At the same time kuna unnecessary expenses ,kule JKT kwa mfano,na pengine pengi.

Mungu ibariki Tanzania

Kweli kabisa mkuu.....
 
Yaani silipatii picha hilo kunji.Let's wait and see

But hapa ndipo tulipofika.Pesa ya kupeleka watu "picnic" for 3 months ipo,ila ya kuwakopesha watu hao wasome elimu ya juu,tena ambayo ina uhusiano na maisha yao moja kwa moja haipo

mkuu inaumiza aisee.
 
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???
 
Back
Top Bottom