Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

Mkopo kwani maana yake pass vzuri, mkopo c kwa wasiojiweza na ukiangalia wanaosomq vyuo vya nchini 90% hawajiwezi ss kwann wengine wakose je walipiwe na nani na maana yake nn dah
 
Watanzania ni wakarimu sana,, Safi sana JK na Kawambwa hii ndo Tanzania bwana!! Pesa wanakula matapeli ya Lumumba tu!! Sitta, fisadi aliyeshindikanika Chenge na wengineo!!
 
Watanzania ni wakarimu sana,, Safi sana JK na Kawambwa hii ndo Tanzania bwana!! Pesa wanakula matapeli ya Lumumba tu!! Sitta, fisadi aliyeshindikanika Chenge na wengineo!!

Mkuu serkali ya maCCM ni janga la ulimwengu.
 
Unataka wapewe wenye one tu ao wengne utawalipia ww??
 
Pesa yetu ya field tu kuipata imekuwa mishe,serikali haiwezi kukubali kujiongezea mzigo
 
Mkuu ukisema wenye dv 1 ndo wapate mkopo utakuta weng ni wale waliotoka shule za wenye hela na sent kayumba tutakuwa hatuendi vyuo hapo mi sikuung mkono mkuu

Si kweli bhana.
Hakuna high skuli st kayumba
labda o level
div I ya form six ni juhudi binafsi
 
Poleni madogo. Ila makato yanauma sana baada ya kupata ajira. Kila mwezi wananikata elfu67na mia6. Na hili deni ni la miaka14. Najuta kwanini niliombaga mkopo.

si lazima usibiri miaka 14 kama unadaiwa m. 6 tafuta wapelekee
 
Kweli watu wamesoma(wengine wana div 1) lakini hawajaelimika,yani unataja taja tu eti div 3....ufaulu gani?,tatizo watu wanapenda kukariri mambo ya kipuuzi,hivi kwa mtu makini 28,000 kukosa mkopo mnaona ni swala la kuongea kama vile kwenu hamna shida baba yako/zenu wana matofali ya dhahabu!.ngoja nitoe mfano bodi(baba) watoto(waomba mkopo); watoto hawana madaftari,kisha unawanunulia baadhi kwa vile unawapenda sana huo si ubaguzi!
 
jaman chuon kwetu apa TI hakuna ata diploma aliepata mkopo kwan wote wliopata ni fm6, hak ipo wap au ndyo system ya TCU kwamba fm kwanza af diploma bdae ?
 
Kweli watu wamesoma(wengine wana div 1) lakini hawajaelimika,yani unataja taja tu eti div 3....ufaulu gani?,tatizo watu wanapenda kukariri mambo ya kipuuzi,hivi kwa mtu makini 28,000 kukosa mkopo mnaona ni swala la kuongea kama vile kwenu hamna shida baba yako/zenu wana matofali ya dhahabu!.ngoja nitoe mfano bodi(baba) watoto(waomba mkopo); watoto hawana madaftari,kisha unawanunulia baadhi kwa vile unawapenda sana huo si ubaguzi!

Kweli mkuu.
 
kopa kwa wa2 au benk coz pote n den so utalpa. kwan heslb ndo inatoa mikopo peke ake?
 
Back
Top Bottom