Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni wakarimu sana,, Safi sana JK na Kawambwa hii ndo Tanzania bwana!! Pesa wanakula matapeli ya Lumumba tu!! Sitta, fisadi aliyeshindikanika Chenge na wengineo!!
Pesa yetu ya field tu kuipata imekuwa mishe,serikali haiwezi kukubali kujiongezea mzigo
Mkuu ukisema wenye dv 1 ndo wapate mkopo utakuta weng ni wale waliotoka shule za wenye hela na sent kayumba tutakuwa hatuendi vyuo hapo mi sikuung mkono mkuu
Poleni madogo. Ila makato yanauma sana baada ya kupata ajira. Kila mwezi wananikata elfu67na mia6. Na hili deni ni la miaka14. Najuta kwanini niliombaga mkopo.
Mimi ni Muhanga wa waliokosa. Mnanishauri nifanyeje?
Pesa yetu ya field tu kuipata imekuwa mishe,serikali haiwezi kukubali kujiongezea mzigo
Kweli watu wamesoma(wengine wana div 1) lakini hawajaelimika,yani unataja taja tu eti div 3....ufaulu gani?,tatizo watu wanapenda kukariri mambo ya kipuuzi,hivi kwa mtu makini 28,000 kukosa mkopo mnaona ni swala la kuongea kama vile kwenu hamna shida baba yako/zenu wana matofali ya dhahabu!.ngoja nitoe mfano bodi(baba) watoto(waomba mkopo); watoto hawana madaftari,kisha unawanunulia baadhi kwa vile unawapenda sana huo si ubaguzi!
jaman chuon kwetu apa TI hakuna ata diploma aliepata mkopo kwan wote wliopata ni fm6, hak ipo wap au ndyo system ya TCU kwamba fm kwanza af diploma bdae ?
Wengine Chuo ndo basi tena coz watoto wa mama ntilie
kopa kwa wa2 au benk coz pote n den so utalpa. kwan heslb ndo inatoa mikopo peke ake?