Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
OLE WAO tukoswe CCM WATATUTAMBUA MWAKANI KWENYE UCHAGUZI.
Tumekosa vipaumbele kama taifa.Hatujui tunataka nini.Cha kwanza kinakuwa cha mwisho na cha mwisho kinakuwa cha kwanza
Ni kama utani hivi,lakini hili ni janga.Hapo kwenye TCU issue tumeona malalamiko mengi,but kimsingiHESLB ndio kilio kitakuwa louder zaidi
Na wengine wataahirisha masomo kwa kukosa huo mkopo.At the same time kuna unnecessary expenses ,kule JKT kwa mfano,na pengine pengi.
Mungu ibariki Tanzania
Wakitunyima tunawafata
Ishu ni kuunga mkono maandamano ya mhe.Mbowe kama hili likitokea.Over
tatzo ni ccm
Yaani silipatii picha hilo kunji.Let's wait and see
But hapa ndipo tulipofika.Pesa ya kupeleka watu "picnic" for 3 months ipo,ila ya kuwakopesha watu hao wasome elimu ya juu,tena ambayo ina uhusiano na maisha yao moja kwa moja haipo
Hata ukikosa unakomaa tu,mbona mimi sina mkopo lakini bado nipo hai,...
Yaan wenzang na mimi tukikosa yaan chuo ndo bas tena, coz tunategemea mikopo ndo itupush
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???