Greaty Timothy
Member
- Sep 24, 2014
- 26
- 2
unavyorahisisha!!....ama kweli uchungu wa msiba aujuaye mfiwa
kopa kwa wa2 au benk coz pote n den so utalpa. kwan heslb ndo inatoa mikopo peke ake?
Acha masihara bila mkopo ungeweza kusoma na kupata ajira wanayokukata 67,600? Na hii 67,600 ndo mshahara wako wote hubakiwi na hata pesa ya kununua nguo, chakula nk? Muogope MunguPoleni madogo. Ila makato yanauma sana baada ya kupata ajira. Kila mwezi wananikata elfu67na mia6. Na hili deni ni la miaka14. Najuta kwanini niliombaga mkopo.
Tutaenda jeshin...that is the last option
inawezekana mkuu hii ikawa ni mbinu ya kuwapeleka watu jeshini.
Kwenye hali kama hii wengi huwa wanaielewa cdm.
Pesa zote wamepeleka kwenye katiba ya CCM.. Wizi mtupu
Na mabilioni mengine ndo hayo yamechotwa kwenye Escrow.Kweli nchi hii inahitaji viongozi wenye nia njema.
kuwafahamu kwa kutumia milango ya fahamu kama 'input transducers' ni vigumu sana.
Labda kuwe na sheria zenye kutoa adhabu kali dhidi yao, pindi wanapoharibu maksudi. Huenda wakaogopa adhabu, ikawa ndio faida kwa watanzania.
Nchi hii wanapewa mikopo kwa connections "wenyewe wanasema" mwenye nacho ataongezewa na toa k2 upate k2.... but isn't fair yaan wanahitaji mkopo wanakosa...... duuu ni shidaah....