Kukosa mkopo sio mwisho wa Ndoto zako

Kukosa mkopo sio mwisho wa Ndoto zako

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Wadau.. Humu ndani kuna uzi mmoja nilisoma wa Mdau ambae anasoma IFM ambae yuko mwaka wa 3, Mdau Hakupata Mkopo ila sasa ana miezi kadhaa kumaliza, nilipenda sana kwani haya kweli huwa ni mambo ya kupita leo kesho utakuwa umemaliza chuo una ujuzi wako, Mimi pia niangia mwaka wa Pili pale IFM ni City Centre na maisha yako very Expensive ila kama una nia na malengo yakutimiza ndoto zako katika maisha hiyo inakuwa ni Changamoto ndogo sana kwako. Ni ngumu sometimes ila inatakiwa Kukomaa. Hiyo inakupa hasira na utumizi mzuri wa pesa, Amini Usiamini mtu yeyote ambae amesoma Chuo kwa kujigharamia mwenyew kwa kiasi kikubwa akiingia mtaani maisha kwake huwa ni simple sana.
Nawaasa wadogo zangu msikate Tamaa Utazoea Tu.. KIKUBWA USIJILINGANISHE NA MTU YEYOTE na Ukifanya hivyo itakula kwako. KILA KUKICHA KATIKA MAISHA KUNA CHANGAMOTO HATA UKIBAKI HOME CHANGAMOTO ZIPO TU KWAHIYO NI VEMA UKAPAMBANA UKIWA MDA KULIKO KUPAMBANA UKIWA MZEE KWASABABU KAMA UTAPOSTPON MASOMO LEO MDA HAUKUSUBIRI UTAZEEKA SHULE UKISUBIRI MKOPO.
 
yap bro umetoa point nzur xn bt inakuaje kwa cc watoto wa wakulima uleuwezo wa kulpa ada 2 nsheeedah je kwenye meal itakuaje
 
vanvedy; yaani ndugu huo msemo wa watoto wa wakulima ukiusema mbele ya watu kuwa ndio utambulisho wa umasikini .....utaweza kukimbizwa......kwa taarifa kama hujui kuna watu wanaishi mjini wanaishi maisha ya dhiki kupindukia na si wakulima, mfano ni watoto wa walizi,watoto wa wasukuma mikokoteni,watoto wa madalali wa uswazi,watoto wa makonda,watoto wa mama muuza kwenye kilabu,n.k!Sasa wewe unaejiita mtoto wa mkulima ambaye tatizo lako kuu ni kukosa soko la mazao yako hebu tafakari upya hivyo unavyojiita kuwa ndiye muhanga wa matatizo tanzania hii.Hata pinda ni mtoto wa mkulima .......unamuonaje lakini?!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom