Pole sana jitahidi kuwa ukisha maliza kula chakula cha usiku ukae kwa muda wa masaa 2 bila ya kulala baada ya hapo lala na ukilala usilale kichalichali yaaniHabar zenu wanaJF, mi ninatatizo linanisumbua sana tokea zamani kama miaka minne iliyopita japo liliacha lakini sasa limeanza kurudi tena mala 1 moja, ni tatizo la kukosa nguvu mwili mzima usiku ukiwa umelala kiasi cha kushindwa kugeuka au hata kunyanyua kiungo chochote cha mwili japo unakua unajitambua, naomba msaaada wenu wakubwa.