Kukosa Tuzo MTV: Wasanii wa Tanzania wapunguze kujiamini, wajirekebishe

Bozi11

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
12
Reaction score
3
Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo.

Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza;

1. Hatukubaliki kama tunavyojikubali (hii ni Overconfidence). Tunashindwa ambiana tuki bugy. Wasanii wetu wameshuka kipaji cha utunzi.. Nyimbo meaningless kama SALOME (kutekenya nini sasa). AJE.

2. Misingi mibovu ya kutuwakilisha kimataifa. Leo tumekua Laughing Stock!

Surely wasanii walioshinda izo Tunzo ukitoa Wiz Kid. Hatuwajui. Meaning, sisi tupo kwenye Bubble yetu ya Singeli na kurusha matako. Na kuimba ujinga.

Wasanii wajirekebishe. Laa sivyo hata nominations hatutafika next year. Tukiipa Singeli Mwanya.
 
Ambaye anafahamu ule wimbo wa kidogo jamaa kamaanisha nini mle aniambie?
 
Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo.

Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza;

1. Hatukubaliki kama tunavyojikubali (hii ni Overconfidence). Tunashindwa ambiana tuki bugy. Wasanii wetu wameshuka kipaji cha utunzi.. Nyimbo meaningless kama SALOME (kutekenya nini sasa). AJE.

2. Misingi mibovu ya kutuwakilisha kimataifa. Leo tumekua Laughing Stock!

Surely wasanii walioshinda izo Tunzo ukitoa Wiz Kid. Hatuwajui. Meaning, sisi tupo kwenye Bubble yetu ya Singeli na kurusha matako. Na kuimba ujinga.

Wasanii wajirekebishe. Laa sivyo hata nominations hatutafika next year. Tukiipa Singeli Mwanya.
Keel bro singeli ya kiboya sana
 
1. Hivi usipojikubali kuna mtu atakukubali kweli?
Hebu turushiemo ka lyric ka wimbo wa Wizkid na Yemi Alade iliyoshinda tujue wanaimba nini.. Au kwa kuwa wanaimba 'kikristo' bac unadhani nyimbo zao zina maana kubwa sana? Music is all about entertainment, Hiyo SALOME unayoiponda haiongozi tu TZ ila vituo vingi Africa kwa kuwa requested na mashabiki.
2. Kutokushinda kuna sababu nyingi, lakini hhata tulipo tunashukuru maana muda si mrefu uliopita hatukuwa hata tunapeleka Nominees kama TZ. Hivyo hiyo yu kuwa na nominees wengi ni hatua kubwa, hatua ya pili sasa ni kutafuta ushindi kwa kishindo!
I'm OFF
 
ila wabongo kwa lawama mh na hamkosagi la kusema.na huwa mnasubiri likitokea ndo muongee......wapeni vijana moyo na muwarekebishe wanapokosea mapemaa sio yakitokea yakutoea ndo mnaanza kuwanyooshea vidole.
uteam huu unachangia pia kwa kiasi kikubwa wasanii kutofikia malengo siku hizi kila shabiki yuko bize na msanii wake,mfano huezi mkuta teamkiba akimpigia kura mondi hii inapunguza kura.......nadhani kama wabongo ni waelewa watajifunza kupitia hili,uzalendo kwanza.
mkuu mtake radhi kiba aje ni songi la mwaka,salome kama hujauelewa utakua na tatizo sehemu[sio nyimbo zote ni kwaajili ya kuelimisha nyingine ni kuburudisha].
 
Kilichobaki ni Team Kiba na Team Diamond. Taratiiiibu tunaanza kurejea kuleee tulikotoka.
 
Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo.

Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza;

1. Hatukubaliki kama tunavyojikubali (hii ni Overconfidence). Tunashindwa ambiana tuki bugy. Wasanii wetu wameshuka kipaji cha utunzi.. Nyimbo meaningless kama SALOME (kutekenya nini sasa). AJE.

2. Misingi mibovu ya kutuwakilisha kimataifa. Leo tumekua Laughing Stock!

Surely wasanii walioshinda izo Tunzo ukitoa Wiz Kid. Hatuwajui. Meaning, sisi tupo kwenye Bubble yetu ya Singeli na kurusha matako. Na kuimba ujinga.

Wasanii wajirekebishe. Laa sivyo hata nominations hatutafika next year. Tukiipa Singeli Mwanya.
Kuna harufu ya mdomo wa mpiga mluzi hapa
 
afu nikwambie kitu mleta mada..
hao unaowanona wanajua kuliko wasanii wetu bongo ,wanaimba vitu vibovu kuliko watu wowote..
sema kwakua lugha kingereza, na mdundo umebamba kapangilia vocal..
lazima uone kama wanaimba vitu vya maana
.

hebu kapitie lylics za nyimbo zao uwone kwanza[emoji23]
sio kila msanii basi john legend / kassim mganga anatunga vitu vya maana..
kutunga mashairi kama ya moyo mashine sio mchezo mchezo..

watu wanajiimbiaga tu oooh girlie ooh ,4 so long i've wait ooh
wait 4 your love & body ooh
come take up money ooh

em niambie hapa kaimba nini cha maana zaidi ya ufuska?? ila lugha ya malkia imebamba.

mtu anaimba i want ur body sleep in my bed[emoji23]

kaka naomba watue wasanii wetu, tunawapenda waache watuimbie..
kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom