Let me give my few cents on this..
Personally naamini kabisa mwanaume ameumbwa kua kichwa cha familia na kiongozi.
Na kiongozi ni jukumu lake kuonyesha ushupavu through all times, good and bad.
I stil think wanaume wengi tunakosea sana pale tunapoanza mahusiano na wanawake. Wengi wanashindwa kujua kua, gia ulioingia nayo ndio utakayotokea nayo.
Therefore, picha na matwndo unayoyaonyesha mwanzoni mwa mahusiano ndo hyo hyo mwanamke wako atatembea nayo hadi ndoa kama mkijaaliwa..
Shida n kizazi cha siku hizi wengi n walaini, waoga sana. Wanakosa ili misimamo ya kiume, na bado nafuatilia shida iko wapi, either n utandawazi, au malezi n.k.
Kama unalia lia hivi mtandaoni hata ndani ya mji wako lazma hauna makucha wala sauti, so unapoteza ile nafasi yako ya uongozi. Baadae unaanza kulaumu kindezi.
Its high time watu wabadilike, kulia lia na kujifanya mpenzi bora hakusaidii kwenye maisha maana aspects ziko nyingi sio ngono tu.
Tofaut na hapo kitafuata kizazi bomu kabisa.
"Hard times create strong men, Strong men create good times, good times create weak men, weak men creates hard times."