General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Kabisa kaka... Wengi tunauvagaa kwakuangalia mapaja na rangi.Sehemu tatu za maisha: 1 kuzaliwa 2 kuoa au kuolewa 3 kifo: Hiyo ya pili ndio mtihani mkubwa, ukikosea tu unaingia sehemu ya tatu chapchap. Nawashauri vijana muwe macho, mda wa uchumba uwe mrefu ili mchunguzane.
Bora kuanza upya kuliko kuwa mtumwa na usie na furaha na maisha yako yote.Future yako inawezekana kuharibika kama kuna ule mgawanyo wa mali katika kutengana.
Umehustle miaka 5-6 umenunua kiwanja umejenga now unaitwa baba mwenye nyumba.lakini mkigawana mali unaenda kuanza maisha upya.unarudi geto kama msela wa enzi zilee[emoji38][emoji38][emoji13]
Unaanza harakati upyaa...
Na bado malezi yanakungoja.
Nb:inategemea na ukubwa wa mgao mtaopeana.wengine wanagawana mil 500
Wengine mil 2
Wengine tunagwana suguria na mabakuli na makochi[emoji38]
Asante kaka...Kwa nini future yako iharibike ikiwa hujaifikia iyo future. Ishi sasa kama umeamua kuacha acha mtu maisha yaendelee.
Una anticipate future ambayo inaweza kukupa uongo au ukweli ambapo ukakifanya ushindwe kufanya maamuzi
Kama ushakaa nae na hawezi rekebishika na ndo Tabia yake kwa Asili.Kweli ukikosea kuoa jua umekosea na maisha.
Nakushauri ukae chini na mkeo myatengeneze kabla hayajaharibika mazima.
SureSiku zote future ya watu wote dunia hii ni nzuri
Ila mipango yako ya leo ndio itaharibu au kutengeneza future ya kesho
Kwani jamni kuna mwanaume asiependa kukojolea pazuri? Wee kama unapenda rangi upaja na tako oa mwenye hivyo vituKabisa kaka... Wengi tunauvagaa kwakuangalia mapaja na rangi.