Kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha

Huo ni msemo tu. Hauna uhalisia wowote, ndiyo maana wachangiaji wote wameshindwa kutoa maelezo ya jinsi gani kukosea kuoa kunaharibu maisha.

Huyo mke tupa kule halafu vuta kasichana miaka 20
 
Well, mbona sijawahi kuona mwenye analeta sifa za raha za ndoa humu!?
Kataa ndoa wakija wangu wangu tunawalaumu
 
Hata kugawana mali siyo sababu ya future mbaya. General Nguli ndoa ukiona ina migogoro isiyorekebishika tupa kule anaza upya mapema sana. Kwa mfano utaoa mwanamke kahaba uvumilie? Au mkorofi anayekutuka kila saa, hana heshima? Mara nyingi anayeharibikiwa baadae baada ya ndoa kuvunjika ni yule mkorofi kwa sababu hata akioa au kuolewa tena hatadumu kwenye ndoa.
 
Unapokosa utulivu na amani kwa mwenza wako dunia utaiona chungu, kila kitu kinaharibika. Amani itawale kwanza, mapenzi yafuatie baada ya amani.
 
Kaka umesema kweli,huwezi ishi na mwanamke ambae hakuheshimu asubuhi hii kweli..???
 
Huo ni msemo tu. Hauna uhalisia wowote, ndiyo maana wachangiaji wote wameshindwa kutoa maelezo ya jinsi gani kukosea kuoa kunaharibu maisha.

Huyo mke tupa kule halafu vuta kasichana miaka 20
Good kaka...
Nataka nione nakosea kama nikiachana nae,
Na siku ntaleta mapungufu yangu na ya mkewangu alafu mjioneee.
 
Magonjwa mengi yawapatayo wanaume chanzo ni wake zao kutokana na malezi mabovu waliyopewa na mama zao.
Mtoto kalelewa vibaya mzigo unakuja ubeba wewe KWA sababu umekosea kuoa
 
Wanawake watambua umuhimu wa ndoa baada ya kuachika.
Wanashindwa kusimama kwenye nafasi zao kwa kupingana na nature
 
Ndoa sikuhiz hazielewek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…