Kukosea Tahajia(Spelling) Unapoandika Mada ni Dalili ya Ulegevu

Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha.

Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua lugha yake vizuri anaeleweka kwa urahisi na hupewa heshima. Ukikosea tahajia mara kwa mara, hasa kwa maneno ya kawaida, unadhihirisha kuwa huna bidii ya kazi, hupendi kujitahidi. Na hii ni ishara kwamba hata ofisini kwako au kwenye biashara yako unafanya makosa na hujali.

“Je! Umemwona mtu aliye mstadi katika kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme, hatasimama mbele ya watu wa kawaida.” (Methali 22:29)

Andiko hilo linaonyesha kuwa ustadi, hata katika kuandika, huinua mtu. Kinyume chake, mtu mlegevu hata kufanya "proof-reading" hastahili cheo kikubwa.

"Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakoenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.”

Kama unaandika mada, andika kwa bidii. Zingatia tahajia sahihi.

Methali 18:9
"Mtu mvivu kazini mwake ni ndugu yake mharibifu.”

Kukosea tahajia sio jambo dogo; ni ulegevu unaoweza kuharibu mawasiliano na kuathiri picha yako mbele ya watu. Mmenipata, wakuu? Ni Injili tu kila kona! 😎
Washereheshaji hupata wafuasi zaidi kwa sababu ya umahiri wao wa lugha. Mmahiri wa lugha hushawishi.
 
Mtu kama yeye? Unamfaham nje ya hapa? Mshauri aende wodi ya wagonjwa wa akili. Mtanishukuru baadae.
Dah, kongole sana felakuti :HYPERCLAPHD:
Kumbe na wewe huwa unaandika comments? Mara nyingi mimi huwa naona "Dislike" zako tu.
Mimi nakupenda tu tena kwa upendo wa Agape, hata kama unanichukia. Ila nakupa tahadhari: usinichukie hata kama huzifurahii mada zangu, kwakuwa...
“Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji; nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake.”(1 Yohana 3:15)
 
Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha.

Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua lugha yake vizuri anaeleweka kwa urahisi na hupewa heshima. Ukikosea tahajia mara kwa mara, hasa kwa maneno ya kawaida, unadhihirisha kuwa huna bidii ya kazi, hupendi kujitahidi. Na hii ni ishara kwamba hata ofisini kwako au kwenye biashara yako unafanya makosa na hujali.

“Je! Umemwona mtu aliye mstadi katika kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme, hatasimama mbele ya watu wa kawaida.” (Methali 22:29)

Andiko hilo linaonyesha kuwa ustadi, hata katika kuandika, huinua mtu. Kinyume chake, mtu mlegevu hata kufanya "proof-reading" hastahili cheo kikubwa.

"Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakoenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.”

Kama unaandika mada, andika kwa bidii. Zingatia tahajia sahihi.

Methali 18:9
"Mtu mvivu kazini mwake ni ndugu yake mharibifu.”

Kukosea tahajia sio jambo dogo; ni ulegevu unaoweza kuharibu mawasiliano na kuathiri picha yako mbele ya watu. Mmenipata, wakuu? Ni Injili tu kila kona! 😎
Njie viumbe mnaokoja mmechuchumaa mnasumbuaga sana mkijua kitu.

Na viumbe namna hii huwatesa sana wanaume wenzetu kwenye ndoa zao.
 
Dah, kongole sana felakuti :HYPERCLAPHD:
Kumbe na wewe huwa unaandika comments? Mara nyingi mimi huwa naona "Dislike" zako tu.
Mimi nakupenda tu tena kwa upendo wa Agape, hata kama unanichukia. Ila nakupa tahadhari: usinichukie hata kama huzifurahii mada zangu, kwakuwa...
“Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji; nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake.”(1 Yohana 3:15)
Wewe ni mzima kiakili?
 
Wewe ni mzima kiakili?
Verily, it beggars belief that a mind of such formidable cognitive stature as yours—so ostensibly astute and intellectually endowed—could remain insensate to the nuanced brilliance, elevated reasoning, and rhetorical precision intricately woven into the very fabric of this exposition.

felakuti
Acha kuwa mfuasi wa Ibilisi. Moyo wenye chuki huakisi sura ya Ibilisi. Ibilisi amejaa chuki na ni mwuaji tangu mwanzo. Ukijaa chuki unakuwa mtoto wa Ibilisi kama Maandiko yanenavyo:
Yohana 8:44
"Ninyi ni wa baba yenu ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzifanya. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo, wala hakusimama katika kweli, kwa sababu hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo, hunena yaliyo yake mwenyewe; kwa maana yeye ni mwongo, tena ni baba wa huo."
 
Leo utaenda kwa mwamposa ewe zombie
 
Leo utaenda kwa mwamposa ewe zombie
Kama hana sifa hizi, siendi:

Na kama anauza chumvi na mafuta, ndio kabisa sikanyagi huko
 
Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha.

Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua lugha yake vizuri anaeleweka kwa urahisi na hupewa heshima. Ukikosea tahajia mara kwa mara, hasa kwa maneno ya kawaida, unadhihirisha kuwa huna bidii ya kazi, hupendi kujitahidi. Na hii ni ishara kwamba hata ofisini kwako au kwenye biashara yako unafanya makosa na hujali.

“Je! Umemwona mtu aliye mstadi katika kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme, hatasimama mbele ya watu wa kawaida.” (Methali 22:29)

Andiko hilo linaonyesha kuwa ustadi, hata katika kuandika, huinua mtu. Kinyume chake, mtu mlegevu hata kufanya "proof-reading" hastahili cheo kikubwa.

"Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakoenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.”

Kama unaandika mada, andika kwa bidii. Zingatia tahajia sahihi.

Methali 18:9
"Mtu mvivu kazini mwake ni ndugu yake mharibifu.”

Kukosea tahajia sio jambo dogo; ni ulegevu unaoweza kuharibu mawasiliano na kuathiri picha yako mbele ya watu. Mmenipata, wakuu? Ni Injili tu kila kona! 😎
Yep! Mkuu hii mada yako (bila kujali habari za Injili) ni mojawapo ya mada inayotuhusu wote waandishi na wasomaji humu Jf. Mdau anapoandika mada yake ; anaipandisha jukwaani kisha anatuachia wasomaji kazi ya ku-edit; wakati mwingine wasomaji wanashindwa kuielewa na matokeo yake -au wanaipuuzia na kuipotezea au wanajibu kwa kejeli au kutokana na mazoea wanaijibu hivyo-hivyo kama ilivyokuja. Haipendezi. Wapo wadau walishaonesha kukereketwa kwa matumizi yasiyo sahihi kiuandishi kati ya "L" vs "R" lakini waandishi husika wamekaza shingo.
 
Umetoa hoja maridadi kabisa, ni kweli watu huchukulia poa taratibu za uandishi, na kujikuta wakiboronga.

Kama ulivyosema, mtu anayekosea uandishi hata kwenye kazi yake haifanyi kwa ustadi, hii pia ni kweli.
Leo uende China, mfano; ukafanye kazi kwa lugha yao; swali ukiteleza kwenye spelling zao , Je wao wachukue ujumbe ulioandika au waanze kujadili mwandiko wako.
Fikiria
 
Back
Top Bottom