Kukosekana hati halisi ,Je muungano batili kisheria?

Kukosekana hati halisi ,Je muungano batili kisheria?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Msaada wa kesheria-Kukosekana hati halisi za muungano kunashiria nini kisheria?
 
Kitu gani kinaprove uwepo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
 
Kama hati ni feki basi itabidi tuseme muungano huu ni batili ab-initio!
 
Back
Top Bottom