ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mnajijazaga ujingaIli uwechezaji mkubwa hapa bongo lazima ucheze simba full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajijazaga ujingaIli uwechezaji mkubwa hapa bongo lazima ucheze simba full stop
Kwahiyo kyombo na Dejan saiz ni wakubwa 😂Ili uwechezaji mkubwa hapa bongo lazima ucheze simba full stop
Yeah wachezaji wakubwa kabsa kukaa bench tu pale simba ni mafanikioKwahiyo kyombo na Dejan saiz ni wakubwa 😂
Mimi ndiyo maana siku zote nasema Ismail Aden Rage anastahili kabisa kujengewa mnara wa kumbukumbu pale msimbazi.Akiwemo na Inonga aliyeitwa kwenye timu hiyo hiyo?
Chuki binafsi1. Huyo kocha haijui wala hajawahi kuisikia Yanga. Ukitaja Tanzania huyo kocha anaifatilia tu Simba maana ndiyo anayoijua.
2. Mayele angekuwa na uweso huo mnaoutaja walau angecheza hata South Africa wachilia mbali ulaya mashariki kule alikocheza Peter Banda (Moldoval) Hafiti hata kidogo.
3. Uwezo wa Mayele ni mdogo mno maana hapa kwenye ligi yetu anachezeshwa na viungo wazuri lakini anascore za kawaida mpaka kufikia kushindana na Joji Mpole ambae nauhakika angekuwa amezungunkwa na viungo kama wa Yanga angetia nyavuni goli 30 plus.
4. Ubora wa Mayele zaidi ni kwenye style yake ya kutetema ambayo mpaka maaskofu na masheikh wanaitumia, bhaaaasi, Otherwise ni mchezaji wa kawaida mnoo
Akikujibu nitag mkuuKwa hiyo Simba mnauzaga match kwa Yanga?
Kwa mpira kama ule wa yanga na mtibwa wanajiangusha tu halafu anafunga goal la mchongo nani amuite national najua misekule itakumbishie goal za simba ila mchezaji hapimwi kwa mechi ya simba na yanga.Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
mzabzab Soma Tena Earthmover Bwana UtamLeo nimekuwa zangu mtandaoni naona mashabiki wa Simba wakitukana saana Mayele
Ila kwa wakongo wenyewe jambo la Mayele kuachwa kwenye timu ya taifa hawajafurahishwa nalo
Kwenye mtandao wa linafoot na mitandao mingine ya wakongo watu wana post picha na ku comment kumtukana kocha kuwa inawezekanaje kuita Cedric Bakambu ambaye mpaka sasa hana nafasi kwenye timu ya Olimpiki de Marseill na kumuacha Fiston Mayele na vitu vingi yote haya yanaonyesha how Fiston Mayele he is big player sema mpira wa Kongo ni siasa tu watu.
Kama hujui Kifaransa au hujui chochote kuhusu mpira pita zako.
View attachment 2357813View attachment 2357814View attachment 2357816View attachment 2357817View attachment 2357818
Ila Mayele anawajulia yaani mnachuki nae kama single mothers [emoji23][emoji23] bahati mbaya kaongeza mkataba mna miaka 2 ya kuendelea kulalamaYanga wenye akili ni wawili tu hao ni mashabiki wa yanga mayele congo wanamjua nani we unadhani kule ni kama Tanzania kule wana wachezaji wengi wanacheza nje na hata hao wenyewe pindi wanapoitwa national wengine wanasugua benchi ww unaleta story zako kama za mwinjaku hakuna mkongo anaefanya ujinga huo labda useme mashabiki wa yanga wanaoishi congo kanawe kwanza naona nzi wanakufuata.
Hapo ndo akili zenu zilipoishia mmeanza kusema kwanza hatacheza hata kama kaitwa ila hata asicheze kuitwa tu ni heshima kama diara alikuwa anaitwa lakini anakaa benchi lakini mlikuwa mnapiga kelele.Ila Mayele anawajulia yaani mnachuki nae kama single mothers [emoji23][emoji23] bahati mbaya kaongeza mkataba mna miaka 2 ya kuendelea kulalama
Fiston wa kawaida anacheza na mabeki wa kiwango cha chini SanaFiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
si ndio mafanikio yenu kumfunga simba, hilo sisi lhatushangai mnawekeza nguvu nyingi sana kwenye kuifunga simba kuliko hata kulaChuki binafsi
na atawanyoosha 23rd