Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Akiwemo na Inonga aliyeitwa kwenye timu hiyo hiyo?
Mimi ndiyo maana siku zote nasema Ismail Aden Rage anastahili kabisa kujengewa mnara wa kumbukumbu pale msimbazi.

Huwezi kuongoza mashabiki wa aina hii! Dakika 0 wanamsifia Inonga kuitwa timu ya Taifa! Dakika 0 wanamponda Mayele eti anakutana na mabeki wabovu (yaani na Inonga wao akiwemo)!!

Mara Mayele anacheza ligi ya kiwango cha chini!! Na wakati na Inonga naye anacheza ligi hiyo hiyo ya NBC!!
 
Usimba na Uyanga unawajaza watu funza vichwani, na huu ndiyo unaharibu hadi Taifa stars. Ifike mahali ujinga kama ubao uufiche, si kisa mchezaji wa timu moja kaitwa na mwingine kaachwa ndiyo uje na jalamba kubwa.

Ligi ya Kongo ni kubwa sana kuliko hapa, ndiyo maana wachezaji wengi wa huku kule wanachukuliwa wale ambao wanaomaliza mkataba, wakubwa zaidi ya hapo huenda timu kubwa kwenye nchi nyingine.

Bado ligi yao ni kubwa na pia wana wachezaji wengine zaidi wa nje, fikirieni na hilo. Pia kule hakujawa Taifa stars mpaka mjipangie na kulalamika fulani hajaitwa.

Endeleeni kuua hii taifa stars kwa kutumbukiza siasa ila Ligi za watu muwe mnaelewa hali halisi, la si hivyo mtaonekana wajinga.
 
Yanga kama CCM kila siku wanajikuza tu kuzidi uhalisia. Wametumia shortcuts kujaza wachezaji wa Vita kisa waliwasumbua Simba, ona sasa huko kwao wanatemwa kwa kwenda timu wasiyoitambua. Nina uhakika Mayele angekuwa Simba, wasingemuacha.

World Cup tutawaona at least wachezaji wawili wa Simba, rekodi nyingine hii inaenda kuwekwa halafu wala haturingiii.
 
Chuki binafsi
na atawanyoosha 23rd
 
Yanga wenye akili ni wawili tu hao ni mashabiki wa yanga mayele congo wanamjua nani we unadhani kule ni kama Tanzania kule wana wachezaji wengi wanacheza nje na hata hao wenyewe pindi wanapoitwa national wengine wanasugua benchi ww unaleta story zako kama za mwinjaku hakuna mkongo anaefanya ujinga huo labda useme mashabiki wa yanga wanaoishi congo kanawe kwanza naona nzi wanakufuata.
 
Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
Kwa mpira kama ule wa yanga na mtibwa wanajiangusha tu halafu anafunga goal la mchongo nani amuite national najua misekule itakumbishie goal za simba ila mchezaji hapimwi kwa mechi ya simba na yanga.
 
Mayele ni moja kati ya wachezaji hatari wepesi na mwenye kipaji cha hali ya juu cha kutumia miguu yote miwili na kichwa

DRC wajilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi ya kushiriki kombe la dunia kwani badala ya kuita mtambo wa magoli hapa Yanga walihangaika na mazee makarasha yanayokalishwa benchi huko ulaya
 
mzabzab Soma Tena Earthmover Bwana Utam
 
Ila Mayele anawajulia yaani mnachuki nae kama single mothers [emoji23][emoji23] bahati mbaya kaongeza mkataba mna miaka 2 ya kuendelea kulalama
 
Ila Mayele anawajulia yaani mnachuki nae kama single mothers [emoji23][emoji23] bahati mbaya kaongeza mkataba mna miaka 2 ya kuendelea kulalama
Hapo ndo akili zenu zilipoishia mmeanza kusema kwanza hatacheza hata kama kaitwa ila hata asicheze kuitwa tu ni heshima kama diara alikuwa anaitwa lakini anakaa benchi lakini mlikuwa mnapiga kelele.
 
Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
Fiston wa kawaida anacheza na mabeki wa kiwango cha chini Sana
Nashukuru umenipa jibu kila nikiwaambia watu inonga ni beki wa kawaida hawaelewi Sasa huyu kocha wa congo KACHEMKA kumuita inonga ingali ligi inawashambuliaji waviwango vya chini
 
Ukisoma comment hizi kwa umakini utagundua mashabiki wa Simba wanamatatizo mahali. Wanakubali Fiston ni mkali ila hawataki kujionesha kukubali kwao kwa hiyo wanaishia kujichanganya wenyewe kwenye maandishi yao.

Wengine wanashindwa kujieleza wanaona bora watukane. Wengine wanasema yale magoli yaMayele ni kwa sababu anazifunga timu ndogo ikiwemo makolo wenyewe, mwingine nikaona anasema Yanga huwa anahonga[emoji23][emoji23]

Sishangai ndio akili zao zilipo, makolo kuna haja mkapimwe afya za akili zenu kama ninabisha rudia kusoma comments bila ya kuwa na kaushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…