Mapovu bado ongezeni speed manara ni vyombo habari vya mpira wa epl
Bora ng'ombe utakula supu. Hivi chura ana kazi gani?Ona hii ng'ombe.
Iko hiviKumbe na wewe ni mjinga [emoji23][emoji23]
Zeruzeru kawa kivutio cha utalii wa ndani..Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.
Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.
Ana wake wawili. Bado anaweza kuongeza wawili. Wahi usichelewe wasije wenzako wakaolewa naye. Huko sasa hautam miss utakuwa naye muda mwingi.Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.
Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.
Hawa wanawake wa siku hizi yaani anataka bwana ake wote tumtambue.Kwahiyo baada ya Miaka 100 na Manara hayupo huu mpira utazorota?
Huko zamani miaka ya 1935 hakuwepo mbona mpira umefika hadi hapa ulipo?
Wewe na Manara wako ni Walevi kama Walevi wengine tu.
Wewe mbona unajiita Mr wakati unapasuka kisusio kwa yule mzee wa ufipa.....!!!Unajiita Mr halafu unakuwa mjinga, daah