Kukosekana kwa Haji Manara ni hasara kwa mpira wetu

Kukosekana kwa Haji Manara ni hasara kwa mpira wetu

Umuhimu wake ni upi? amezalisha wachezaji wa ngapi? au kasaidia technically kwenye kipi zaidi yakutukana watu?
LABDA MTOA MADA ALITAKA KUCHUKUA ATTENTION YA WATU TU.
 
Kumbe na wewe ni mjinga [emoji23][emoji23]
Iko hivi
FB_IMG_1655579378566.jpg
 
Binafisi namkubali Manara sana ..sema manara alishindwq kujiongeza akajion'a mkubwa kuliko hiyo clubu na mfadhili wake ....wakamtupia kwenye magodoro ......kumbuka Hawa wafadhili wote ndo hao hao ...ikaisha ivyo
 
Huyo kunguni wa kazi gani? Ana impact zipi kwenye mpira wa bongo kwa ujumla?
 
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.

Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.

Ana wake wawili. Bado anaweza kuongeza wawili. Wahi usichelewe wasije wenzako wakaolewa naye. Huko sasa hautam miss utakuwa naye muda mwingi.
 
Kwahiyo baada ya Miaka 100 na Manara hayupo huu mpira utazorota?

Huko zamani miaka ya 1935 hakuwepo mbona mpira umefika hadi hapa ulipo?

Wewe na Manara wako ni Walevi kama Walevi wengine tu.
Hawa wanawake wa siku hizi yaani anataka bwana ake wote tumtambue.
 
Natamani tuendelee na mfumo huohuo timu zifanye kazi na watu sahihi hizi mambo za kutia hamasa tuachane nazo kwa upande wangu sioni umuhimu
 
Back
Top Bottom