Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Utaambiwa ww MCHOCHEZI! watumie vijiti vya muarobaini vinafaa pia.Napenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali.
Mke wangu alifika hospitali ya serikali akiwa na nia ya kupata huduma hiyo, lakini akaelezwa kuwa huduma ya kupandikiza kijiti haipatikani kwa sasa. Alielezwa na mhudumu wa afya (nesi) kuwa:
Kilichonishtua zaidi ni kwamba:
- Huduma hiyo imesitishwa katika hospitali nyingi za serikali
- Sababu iliyotajwa ni kusitishwa au kupungua kwa misaada kutoka taasisi za nje/nchi wahisani
- Hali hii imekuwepo tangu mwezi wa 11 (Novemba 2025)
❗ Maswali ya msingi kwa wahusika:
- Wananchi hawakupewa taarifa rasmi mapema
- Wanawake wengi wanategemea huduma hizi kwa afya zao, mipango ya familia, na ustawi wa kiuchumi
- Kukosekana kwa huduma hizi kunaweza kusababisha mimba zisizopangwa, hatari kiafya, na mzigo wa kijamii
🙏 Tunaomba maelezo kutoka kwa wahusika, Lengo la taarifa hii ni;
- Je, ni kweli huduma hizi zimesitishwa kitaifa au ni maeneo fulani tu?
- Serikali ina mpango gani wa dharura kuziba pengo hili?
- Kwa nini wananchi hawajapewa taarifa rasmi kuhusu mabadiliko haya?
- Wanawake wasio na uwezo wa kwenda hospitali binafsi wafanye nini?
Naomba mamlaka husika, wadau wa afya, na viongozi wachukue suala hili kwa uzito unaostahili.
- Kupata ufafanuzi wa wazi
- Kuhamasisha uwajibikaji
- Kulinda afya na haki za wanawake
📌 Afya ya uzazi si anasa — ni haki ya msingi.
Tanzania inakua kumbe siku hizi kuna teknolojia ya kupandikiza vijiti? Oooh hii kaliNapenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali.
Mke wangu alifika hospitali ya serikali akiwa na nia ya kupata huduma hiyo, lakini akaelezwa kuwa huduma ya kupandikiza kijiti haipatikani kwa sasa. Alielezwa na mhudumu wa afya (nesi) kuwa:
Kilichonishtua zaidi ni kwamba:
- Huduma hiyo imesitishwa katika hospitali nyingi za serikali
- Sababu iliyotajwa ni kusitishwa au kupungua kwa misaada kutoka taasisi za nje/nchi wahisani
- Hali hii imekuwepo tangu mwezi wa 11 (Novemba 2025)
❗ Maswali ya msingi kwa wahusika:
- Wananchi hawakupewa taarifa rasmi mapema
- Wanawake wengi wanategemea huduma hizi kwa afya zao, mipango ya familia, na ustawi wa kiuchumi
- Kukosekana kwa huduma hizi kunaweza kusababisha mimba zisizopangwa, hatari kiafya, na mzigo wa kijamii
🙏 Tunaomba maelezo kutoka kwa wahusika, Lengo la taarifa hii ni;
- Je, ni kweli huduma hizi zimesitishwa kitaifa au ni maeneo fulani tu?
- Serikali ina mpango gani wa dharura kuziba pengo hili?
- Kwa nini wananchi hawajapewa taarifa rasmi kuhusu mabadiliko haya?
- Wanawake wasio na uwezo wa kwenda hospitali binafsi wafanye nini?
Naomba mamlaka husika, wadau wa afya, na viongozi wachukue suala hili kwa uzito unaostahili.
- Kupata ufafanuzi wa wazi
- Kuhamasisha uwajibikaji
- Kulinda afya na haki za wanawake
📌 Afya ya uzazi si anasa — ni haki ya msingi.
Halafu mwanaume mzima anamsindikiza mke wake kuweka kijiti mjinga sanaHuduma IPO ila haya mambo ya uzaz wa mpango unaua wanawake wengi Kansas ya kizaz mwanamke akifika umri miaka kuanzia 50 na kuendelea madhara ya hizi njia za uzaz wa mpango unaanza kuonekana
Asilimia kubwa wanaotumia vijiti vinakondesha mnoo
We ni mjinga hivi unajua madhara ya huo ujinga wenu wa uzazi wa mpango? 🚮🚮🚮Nadhani matokeo ya 'Who are you' yameanza kuonekana
Hahaha mim mwenyewe nimeshuhudia wengi wakisindikizanaHalafu mwanaume mzima anamsindikiza mke wake kuweka kijiti mjinga sana
Ngoja wafike na kwenye mbaazi ndio tutajua who are they.Nadhani matokeo ya 'Who are you' yameanza kuonekana
wengine hukondeana na kuwa flat tako hutoweka anakuwa hana shape ya kikeMwambie wife aongee na wazazi wake wa kike wamueleze njia gani walitumia kupanga uzazi.haya ma vijiti yana makasheshe sana. Mkeo atanenepeana kama shilole. Yaani utashangaa kawa bonge la mazaaa
Hizo njia salama wanazotumia wazungu ni zipi na Sisi wamatumbi tuige?Hahaha mim mwenyewe nimeshuhudia wengi wakisindikizana
Kinachonishangaza wazungu wanatuletea sisi hizi ila wao wanatumia njia nyingine na salama zaid
Njia za asili hasa hiyo ya shanga uwe na kizazi cha kusuasua,ukijichanganya na Una kizazi cha house girl hautaamini macho yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achana na hayo mavijiti tafuta njia ya asili funga kizazi hicho some time mkiona wanawake wamevaa shanga kiunoni mnajua urembo kaa na wazee wakupe code