Kalenda ni unyama Sana,kama wote mko tayari kuitumia ,kwa uaminifu!Tunakokwenda! Tutalazimika tuwe na nidhamu kwenye tendo la ndoa katika ndoa zetu! Wake zetu wawe waaminifu kutumia Kalenda zao vizuri.
Mimi mke wangu hajawahi kutumia vijiti wala mimi kutumia Kondomu lakini birth control iko vizuri.
Hana maanaHalafu mwanaume mzima anamsindikiza mke wake kuweka kijiti mjinga sana
Kwa hisani ya watu wa Marekani!Napenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali.
Mke wangu alifika hospitali ya serikali akiwa na nia ya kupata huduma hiyo, lakini akaelezwa kuwa huduma ya kupandikiza kijiti haipatikani kwa sasa. Alielezwa na mhudumu wa afya (nesi) kuwa:
Kilichonishtua zaidi ni kwamba:
- Huduma hiyo imesitishwa katika hospitali nyingi za serikali
- Sababu iliyotajwa ni kusitishwa au kupungua kwa misaada kutoka taasisi za nje/nchi wahisani
- Hali hii imekuwepo tangu mwezi wa 11 (Novemba 2025)
❗ Maswali ya msingi kwa wahusika:
- Wananchi hawakupewa taarifa rasmi mapema
- Wanawake wengi wanategemea huduma hizi kwa afya zao, mipango ya familia, na ustawi wa kiuchumi
- Kukosekana kwa huduma hizi kunaweza kusababisha mimba zisizopangwa, hatari kiafya, na mzigo wa kijamii
🙏 Tunaomba maelezo kutoka kwa wahusika, Lengo la taarifa hii ni;
- Je, ni kweli huduma hizi zimesitishwa kitaifa au ni maeneo fulani tu?
- Serikali ina mpango gani wa dharura kuziba pengo hili?
- Kwa nini wananchi hawajapewa taarifa rasmi kuhusu mabadiliko haya?
- Wanawake wasio na uwezo wa kwenda hospitali binafsi wafanye nini?
Naomba mamlaka husika, wadau wa afya, na viongozi wachukue suala hili kwa uzito unaostahili.
- Kupata ufafanuzi wa wazi
- Kuhamasisha uwajibikaji
- Kulinda afya na haki za wanawake
📌 Afya ya uzazi si anasa — ni haki ya msingi.
Mbaazi mbona niliskia hekaheka tangu mwaka jana mwishoniNgoja wafike na kwenye mbaazi ndio tutajua who are they.
Mke wang hadi huwa anakosa nuru kwenye ngozi,ilibid nimzuie bora kumwaga nje lakin nae hatak nimwage nje hapo ndo mzikiHuduma IPO ila haya mambo ya uzaz wa mpango unaua wanawake wengi Kansas ya kizaz mwanamke akifika umri miaka kuanzia 50 na kuendelea madhara ya hizi njia za uzaz wa mpango unaanza kuonekana
Asilimia kubwa wanaotumia vijiti vinakondesha mnoo
Kila siku asubuhi unaamka uboo umedinda kufuata calendar ni ngumu aiseeKalenda ni unyama Sana,kama wote mko tayari kuitumia ,kwa uaminifu!
Tatizo ni hawa kaka zangu Wa kimatumbi!
Hahhah changamoto lazma pawe na maelewano lasvo mtazaa kama nguruweKila siku asubuhi unaamka uboo umedinda kufuata calendar ni ngumu aisee
Mtawezana na bei zake hata hapa bongo zipo ila bei sasaHizo njia salama wanazotumia wazungu ni zipi na Sisi wamatumbi tuige?
Njia ya calendar ni njia bora zaidi kuliko hizo zingine.Napenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali.
Mke wangu alifika hospitali ya serikali akiwa na nia ya kupata huduma hiyo, lakini akaelezwa kuwa huduma ya kupandikiza kijiti haipatikani kwa sasa. Alielezwa na mhudumu wa afya (nesi) kuwa:
Kilichonishtua zaidi ni kwamba:
- Huduma hiyo imesitishwa katika hospitali nyingi za serikali
- Sababu iliyotajwa ni kusitishwa au kupungua kwa misaada kutoka taasisi za nje/nchi wahisani
- Hali hii imekuwepo tangu mwezi wa 11 (Novemba 2025)
❗ Maswali ya msingi kwa wahusika:
- Wananchi hawakupewa taarifa rasmi mapema
- Wanawake wengi wanategemea huduma hizi kwa afya zao, mipango ya familia, na ustawi wa kiuchumi
- Kukosekana kwa huduma hizi kunaweza kusababisha mimba zisizopangwa, hatari kiafya, na mzigo wa kijamii
🙏 Tunaomba maelezo kutoka kwa wahusika, Lengo la taarifa hii ni;
- Je, ni kweli huduma hizi zimesitishwa kitaifa au ni maeneo fulani tu?
- Serikali ina mpango gani wa dharura kuziba pengo hili?
- Kwa nini wananchi hawajapewa taarifa rasmi kuhusu mabadiliko haya?
- Wanawake wasio na uwezo wa kwenda hospitali binafsi wafanye nini?
Naomba mamlaka husika, wadau wa afya, na viongozi wachukue suala hili kwa uzito unaostahili.
- Kupata ufafanuzi wa wazi
- Kuhamasisha uwajibikaji
- Kulinda afya na haki za wanawake
📌 Afya ya uzazi si anasa — ni haki ya msingi.
Una miaka mingapi?Kweli
Tanzania inakua kumbe siku hizi kuna teknolojia ya kupandikiza vijiti? Oooh hii kali
Kwa nini?Halafu mwanaume mzima anamsindikiza mke wake kuweka kijiti mjinga sana
Hauna madhara,We ni mjinga hivi unajua madhara ya huo ujinga wenu wa uzazi wa mpango? 🚮🚮🚮
Njia ipi hiyo ya family planning wanayotumia tofauti na hizi hizi zinazotumika.Hahaha mim mwenyewe nimeshuhudia wengi wakisindikizana
Kinachonishangaza wazungu wanatuletea sisi hizi ila wao wanatumia njia nyingine na salama zaid
Chaiwengine hukondeana na kuwa flat tako hutoweka anakuwa hana shape ya kike
Hawatimii hizi kama ni sindano sio kama zetu wala vidonge sio kama vyetuNjia ipi hiyo ya family planning wanayotumia tofauti na hizi hizi zinazotumika.
Wanatumia vidonge gani ambavyo sio kama hizi za kwetu 😂😂😂😂😂😂😂Hawatimii hizi kama ni sindano sio kama zetu wala vidonge sio kama vyetu
Vihgi mnavyolrtewa vina madhara. Ulitaka usipate madhara tengeneza vyako, utaweza?Hawatimii hizi kama ni sindano sio kama zetu wala vidonge sio kama vyetu
Kuna njia za asili kabisa zinatumika na watu hawapatwi na madhara sema elimu hakuna kuhusu ivi vitu ndo maana watu wanavidharauVihgi mnavyolrtewa vina madhara. Ulitaka usipate madhara tengeneza vyako, utaweza?
Unazungumzia madhara kwa nchi ambayo hadi vyoo mnajengewa kvya msaada
Hawatumii vidonge kama vyetu ila Kuna vidonge wanatumia ila sio kama vyetu kuvielezea siwez ila niliviona sijahadithiwa niliona havifanani kabisaaaWanatumia vidonge gani ambavyo sio kama hizi za kwetu 😂😂😂😂😂😂😂
Hizo ni brand name tu lakini kiuhalisia wanatumia vidonge vyenye kichocheo kimoja (Progesterone Only Pill) au vichocheo viwili (Combined Oral Contraceptive)