Kukosekana kwa Huduma ya Uzazi wa Mpango (Kijiti) Hospitali za Serikali

Tunakokwenda! Tutalazimika tuwe na nidhamu kwenye tendo la ndoa katika ndoa zetu! Wake zetu wawe waaminifu kutumia Kalenda zao vizuri.
Mimi mke wangu hajawahi kutumia vijiti wala mimi kutumia Kondomu lakini birth control iko vizuri.
Kalenda ni unyama Sana,kama wote mko tayari kuitumia ,kwa uaminifu!
Tatizo ni hawa kaka zangu Wa kimatumbi!
 
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Huduma IPO ila haya mambo ya uzaz wa mpango unaua wanawake wengi Kansas ya kizaz mwanamke akifika umri miaka kuanzia 50 na kuendelea madhara ya hizi njia za uzaz wa mpango unaanza kuonekana
Asilimia kubwa wanaotumia vijiti vinakondesha mnoo
Mke wang hadi huwa anakosa nuru kwenye ngozi,ilibid nimzuie bora kumwaga nje lakin nae hatak nimwage nje hapo ndo mziki
 
Njia ya calendar ni njia bora zaidi kuliko hizo zingine.
 
Hawatimii hizi kama ni sindano sio kama zetu wala vidonge sio kama vyetu
Wanatumia vidonge gani ambavyo sio kama hizi za kwetu 😂😂😂😂😂😂😂

Hizo ni brand name tu lakini kiuhalisia wanatumia vidonge vyenye kichocheo kimoja (Progesterone Only Pill) au vichocheo viwili (Combined Oral Contraceptive).
 
Vihgi mnavyolrtewa vina madhara. Ulitaka usipate madhara tengeneza vyako, utaweza?
Unazungumzia madhara kwa nchi ambayo hadi vyoo mnajengewa kvya msaada
Kuna njia za asili kabisa zinatumika na watu hawapatwi na madhara sema elimu hakuna kuhusu ivi vitu ndo maana watu wanavidharau
Manes wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi watu kutumia uzaz wa mpango na wanajua vinamadhara maana watu wanaenda na kutoa malalamiko ila majibu wanayopewa et ndo kawaida khaaa
 
Hawatumii vidonge kama vyetu ila Kuna vidonge wanatumia ila sio kama vyetu kuvielezea siwez ila niliviona sijahadithiwa niliona havifanani kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…