mende 2014 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 763 Reaction score 131 May 29, 2014 #1 Maji yamekosekana katika machinjio ya Bunda mjini na kukwamisha uchinjaji wa mifugo. Kwa hali hiyo wafanyabiashara wote wa ng'ombe, Mbuzi na Kondoo wamekwama kuchinja. Source wachinjanji
Maji yamekosekana katika machinjio ya Bunda mjini na kukwamisha uchinjaji wa mifugo. Kwa hali hiyo wafanyabiashara wote wa ng'ombe, Mbuzi na Kondoo wamekwama kuchinja. Source wachinjanji
M Muwazi JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 355 Reaction score 81 May 29, 2014 #2 Kwa nini maji yamekosekana? Mbunge wenu yuko wapi?