Kukosekana kwa maji machinjioni yaleta hasara

Kukosekana kwa maji machinjioni yaleta hasara

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Maji yamekosekana katika machinjio ya Bunda mjini na kukwamisha uchinjaji wa mifugo. Kwa hali hiyo wafanyabiashara wote wa ng'ombe, Mbuzi na Kondoo wamekwama kuchinja. Source wachinjanji
 
Kwa nini maji yamekosekana? Mbunge wenu yuko wapi?
 
Back
Top Bottom