Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
"Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.

Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama!

Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
 
Attachments

  • DUDU_BAYA;VYOO_VYA_JNI_AIPORT_DAR.ES.SALAM_HAVINA_MAJI....MAAJABU(144p).mp4
    2.8 MB
"Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.

Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama!

Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Hii inahusiana nini na vyoo vya Uwanja wa ndege wa Dar?
 
Je uliudhuria maandamano Manchester kupinga ubaguzi wa rangi wa polisi?
Umenitoa JNIA ukatupeleka Karbala na sasa umenitupa Manchester daa
Hilo la Manchester lipo mikononi mwa polisi na PM amemtuma waziri wa mambo ya ndani akaongea na Mayor wa Jiji la Manchester
Jibu sikwenda maana hayo yanatokea kila sehemu
 
Nikusaidie jibu rahisi?

Ungesema hivi, "Sikuiacha nchi yangu nzuri ya Tanganyika kuja kuzurura kwa Wazungu bali kukusanya hela"
 
Back
Top Bottom