GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki."Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.
Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama!
Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
Hii inahusiana nini na vyoo vya Uwanja wa ndege wa Dar?Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Je uliudhuria maandamano Manchester kupinga ubaguzi wa rangi wa polisi?Hii inahusiana nini na vyoo vya Uwanja wa ndege wa Dar?
Umenitoa JNIA ukatupeleka Karbala na sasa umenitupa Manchester daaJe uliudhuria maandamano Manchester kupinga ubaguzi wa rangi wa polisi?
Nikusaidie jibu rahisi?Umenitoa JNIA ukatupeleka Karbala na sasa umenitupa Manchester daa
Hilo la Manchester lipo mikononi mwa polisi na PM amemtuma waziri wa mambo ya ndani akaongea na Mayor wa Jiji la Manchester
Jibu sikwenda maana hayo yanatokea kila sehemu