A
Anonymous
Guest
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika.
Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu zilizopo maeneo hayo.
Kwa wanafunzi wamekuwa wakipata magonjwa ngozi kutoka matunizi ya maji ambayo shule zinanununua kutoka kwenye magari yaani water bowsers. Maji hayo sio salama.
Wakati mwingine wanafunzi hawaogi kabisa kutoka ukosefu wa maji.
Huenda kunauzembe wa.utoaji wa huduma kwenye maeneo husika kutoka Mwaussa au hayo.maboza ni ya kwao wanafanya biashara kwa kuuniza wananchi wakiwemo wanafunzi.
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme