Nimejaribu kufanya tafiti kidogo juu ya ukosefu wa dawa na vifaa tiba kwenye vituo vya afya vya umma asilimia kubwa imechangiwa na serikali. Leo ukiandikiwa dawa tatu basi ujue utapata dawa moja au usipate kabisa.
Kwenye majukwaa ya siasa inaongelea kuongezeka kwa bajeti ya dawa kutoka bil 30+ mpaka bil 200+ lakini kiuhalisia ni zaidi ya mwaka sasa serikali haijatuma fedha ya ruzuku ya dawa kwenda MSD hivyo vituo vingi vinajiendesha vyenyewe.
Jambo la pili asilimia kubwa ya wagonjwa wanaohudumiwa ni wenye misamaa (watoto chini5, wazee zaidi ya m60, kinamama wajawazito n.k) hivyo vituo mbali na kujiendesha asilimia kubwa ya gharama inawahudumia wenye misamaha.
Wito kwa Serikali ni kuleta fedha za ruzuku kwa inavyoahidiwa kwenye majukwaa au ije sera ya ulazima wa bima kwa kila mtu