Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja kujibomoa sisi wenyewe Tulinde nidhamu miongoni mwetu tuifuate miiko yetu iwe ni marufuko kutengeneza mambo yanayoweza kusababisha migongano miongoni mwetu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.