Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma.
Mzalendo adui yake mkubwa ni fisadi. Lakini Watanzania wengi hugawiwa pesa ndogo kutoka kwa mafisadi ambayo inatosha chakula cha siku moja tu. Wakipewa pesa kidogo wanalisahau Taifa lao.
Wanazisahau rasilimali zao.
Kipindi hichi kuelekea kampeni mafisadi watagawa mashati bure, kofia, bodaboda, baiskeli ambavyo haviwezi kutatua changamoto za Watanzania.
Mafisadi watashukuriwa kwa kugawa mipira ya miguu na sare za mpira. Wazalendo wa kweli hawawezi kuibiwa akili kwa vitu vidogo vidogo.
Kwahiyo CCM itashinda, itashinda na kushinda zaidi.