Out of factual....Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi.
Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisiaš³
Hata utetee vipi ukweli tunaujua wacha kujizima data.Out of factual....
CCM ni imani....wanachama wake nguli wanakuzwa kupitia madarasa ya itikadi......hilo huwezi kulipata nje yake sembuse CHADEMA ?!!
Siasa za CCM zinaendana na umbile la TAIFA HIKI....usiwe mjinga......
CCM imesheni vipaji ,ikiongozwa na kipaji SAMIA SULUHU HASSAN.....
Kamwe huna uwezo wa kuyajua mambo makubwa na takatifu ya taifa hili....
KALAGHABAHO
We mwehu una kipaji cha nini zaidi ya huu uzezeta? Nani mwenye kipaji huko Chadomo. Nyie ni mazuzu yasiyojitambuaYaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi.
Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisiaš³
Chawa ni wadudu wanaoishi kwenye uchafu.Mkuu Mbona Mama yetu anapendwa saana na machawa......
Ukiona nguvu kubwa inatumika kumnadi mgombea ujue hauziki...
Ukiuliza why Mama,
Mfano
Utaambiwa ameleta billion hamsini tanga. Enhe mbona Mimi sijaona impact ya hizo billion hamsini tanga...
Wanaanza blah blah....
lazma usikitike ccm imeoza inanuka rushwaSijasoma mada ila nimesikitika sana
Out of factual....
CCM ni imani....wanachama wake nguli wanakuzwa kupitia madarasa ya itikadi......hilo huwezi kulipata nje yake sembuse CHADEMA ?!!
Siasa za CCM zinaendana na umbile la TAIFA HIKI....usiwe mjinga......
CCM imesheni vipaji ,ikiongozwa na kipaji SAMIA SULUHU HASSAN.....
Kamwe huna uwezo wa kuyajua mambo makubwa na takatifu ya taifa hili....
KALAGHABAHO
UmekaririInapendwa na machawa hapo tutakubaliana
Ati yule Babu aliyenyonyoka nywele umfananishe na Heche?šNani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisiaš³
Ahahahahaha! Eti kupendwa kihalisia! Kwani siasa ni danguro au watu wanatafuta wachumba?Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi.
Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisiaš³
Duu hata majasiri wa ufisadi wapo CCM, tume za kuchunguza ufisadi zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia kikikikiHii nayo imeniliza sana.
Wasomi madokta vijana kwa wazee wapo CCM
Wana mikakati Bora wapo CCM
VIjana jasiri na shupavu wapo CCM
Itikadi ya ccm sehemu kubwa ni ya kizee, na mbeleko ya vyombo vya dola ndio kinga yao pekee. Siasa zikifanywa kwa nguvu ya ushawishi wa kisiasa, ccm ni kama TLP.Out of factual....
CCM ni imani....wanachama wake nguli wanakuzwa kupitia madarasa ya itikadi......hilo huwezi kulipata nje yake sembuse CHADEMA ?!!
Siasa za CCM zinaendana na umbile la TAIFA HIKI....usiwe mjinga......
CCM imesheni vipaji ,ikiongozwa na kipaji SAMIA SULUHU HASSAN.....
Kamwe huna uwezo wa kuyajua mambo makubwa na takatifu ya taifa hili....
KALAGHABAHO
.... itikadi ya vyama inatoka na asili ya nchi zenyewe....Itikadi ya ccm sehemu kubwa ni ya kizee, na mbeleko ya vyombo vya dola ndio kinga yao pekee. Siasa zikifanywa kwa nguvu ya ushawishi wa kisiasa, ccm ni kama TLP.