Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Mar 28, 2025 #21 Mkunazi Njiwa said: .... itikadi ya vyama inatoka na asili ya nchi zenyewe.... Itikadi siku zote huwa ni ya KIZEE ili kulinda YASIYOTAKIWA KUBADILIKA HATA PUNJE..... Hebu kurupuka na ufute hilo dovuo la usingizi wako wa pono !! Click to expand... Asili ya nchi ni wizi wa kura? Ama asili ya nchi hii ni lazima kutawaliwa na ccm?
Mkunazi Njiwa said: .... itikadi ya vyama inatoka na asili ya nchi zenyewe.... Itikadi siku zote huwa ni ya KIZEE ili kulinda YASIYOTAKIWA KUBADILIKA HATA PUNJE..... Hebu kurupuka na ufute hilo dovuo la usingizi wako wa pono !! Click to expand... Asili ya nchi ni wizi wa kura? Ama asili ya nchi hii ni lazima kutawaliwa na ccm?