The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Kweli kabisa, yaan dogo anold ameimfluence sana liver kuchukua ndoo ya uefa. Hata uki.uangalia saiv anapiga kazi sana kumzidi marceloMan city mchezaji wa kuwepo pale labda ni Benardo silva.hasa ukizingatia kikosi ni kigumu kwenda mbele.But upande wa mabeki ndo FIFA wamezingua zaidi.Marcelo hafai kabisa kuna dogo Trent Arnod aliupiga mwingi sana ila hayupo.
Siasa zimeingia hadi ulimwengu wa soka, ni mwendo mdundo tu wa mbeleko mbeleko [emoji23]Pamoja na kutwaa mataji yote ya england na kufika robo fainali ya UEFA bado hakuna mchezaji yeyote wa city kwenye kikosi bora cha dunia. Imagine hata benardo hayupo. Cha ajabu unakutana na wachezaji 4 wa Real madrid, timu ambayo haikuwa na msimu mzuri.
Mfano mtu kama marcelo alikuwa anapigwa benchi na kale ka regulion lakini yupo kwenye kikosi. Pia mtu kama mane kaupiga sana msimu uliopita lakini hayupo.
Mtazamo wangu kikosi kilichotangawa hakiakisi uhalisia kabisaView attachment 1214670
Nadhani FIFA pro xi huandaliwa na jopo la wataalamu wa FIFA na sio kwa kura tofauti na tuzo zenyewe au?Hakuna maana yoyote wapiga kura wanawapigia wachezaji wanao wapenda bila kujali wanafanya nini, tusije kushangaa Dan Alves anarudi tena kwenye Fifa pro XI 2020
Jopo la wataamu wa football hawana control wala vigezo ndio maana wanamchagua Marcelo wakati team yake msimu mzima kawekwa benchi, hakuna wataalamu kwenye uchaguzi wa ubora wa wachezaji,mapenzi kwanza mengine badaeNadhani FIFA pro xi huandaliwa na jopo la wataalamu wa FIFA na sio kwa kura tofauti na tuzo zenyewe au?
Wamebugi ile mbaya.Wangemweka robertson na Trent.Jopo la wataamu wa football hawana control wala vigezo ndio maana wanamchagua Marcelo wakati team yake msimu mzima kawekwa benchi, hakuna wataalamu kwenye uchaguzi wa ubora wa wachezaji,mapenzi kwanza mengine badae
hicho kikosi cha FIFA kikicheza na MAN CITY ya pep kinapigwa ata 5 bila majibuPamoja na kutwaa mataji yote ya england na kufika robo fainali ya UEFA bado hakuna mchezaji yeyote wa city kwenye kikosi bora cha dunia. Imagine hata benardo hayupo. Cha ajabu unakutana na wachezaji 4 wa Real madrid, timu ambayo haikuwa na msimu mzuri.
Mfano mtu kama marcelo alikuwa anapigwa benchi na kale ka regulion lakini yupo kwenye kikosi. Pia mtu kama mane kaupiga sana msimu uliopita lakini hayupo.
Mtazamo wangu kikosi kilichotangawa hakiakisi uhalisia kabisaView attachment 1214670
Modrich, mbappe na marcelo for mane benardo na anoldWatu mnazunguka weee! Mnashindwa kusema ukweli kwamba nafasi ya Ronaldo alistahiri MANE nafasi ya Mbappe alistahiri B. Silver
WakuuKikosi chenyeweView attachment 1214676