Kukosekana leaving certificate wakati wa maombi ya cheti cha kuzaliwa

Kukosekana leaving certificate wakati wa maombi ya cheti cha kuzaliwa

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,700
Reaction score
2,904
Msaada wakuu.

Nataka kufanya maombi ya cheti cha kuzaliwa ya mdogo wangu lakini leaving certificate ilipotea.

Lakini kuna mdau aliniambia kuna uwezekano wa kufanikiwa kupata hicho cheti cha kuzaliwa ukiwa na barua ya utambulisho kata na cheti cha ubatizo.

Wakuu naomba yeyote aliyewahi kufanikiwa kupata cheti cha kuzaliwa kupitia maombi kwenye mfumo wa rita anisaidie kabla sijapoteza pesa.
 
Back
Top Bottom