Pre GE2025 Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni mijadala imepoa

Pre GE2025 Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni mijadala imepoa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni
1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea

2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo

3. Bunge kufatiliwa na watu wengi imepungua sana

4. Mawaziri kutumia muda mwingi kusoma na kupitia maendeleo ya wizara zao kwani hofu ya maswala mazito sasa haipo tena

Upinzani wenye nguvu unahitajika popote pale duniani kama kweli mnataka mjenge taifa ambapo kila mmoja mchapa kazi

France
Une opposition forte est cruciale dans la politique mondiale. Les Européens ont dit que pour connaître votre capacité, il faut avoir un critique pour ce que vous faites.
 
 
Back
Top Bottom